MAMA SALIMA KIKWETE ATEULIWA KUWA MBUNGE
Mke Wa rais mstaafu , jakaya mrisho kikwete ameteuliwa leo kuwa mbunge Wa bunge la jamhuri ya muungano Wa Tanzania leo hii ikulu na Rais MAGUFULI .
Awali taarifa zilienea kuwa ameteuliwa kuwa mbunge Wa viti maalumu na baada ya muda marekebisho yalitolewa kuwa ni mbunge Wa bunge la jamhuri ya muungano Wa Tanzania na si mbunge Wa viti maalumu .
Comments