RAMADHANI KESSY AMEONYESHA UWEZO MKUBWA MCHEZO DHIDI YA RUVU SHOOTING
Hakika tuachane na ubishi na uzambiki km kweli unaujua mpira Wa miguu utakubaliana na mimi kuwa , mchezaji Wa YANGA Ramadhani Kessy katika mchezo uliopita alionyesha nia yake ya kumshawishi kocha Lwandaminina kuendelea kumpatia nafasi katika kikosi cha kwanza baada ya kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika mchezo uliopita dhidi ya Ruvu Shooting ambapo Yanga waliibuka na ushindi Wa goli 2-0 .
Mchezaji huyo Wa zamani Wa wekundu Wa msimbazi amekuwa hapatiwi nafasi Mara Kwa Mara katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo huku akipatiwa nafasi Juma Abdul ambaye hata hvyo amekuwa hana kiwango kizuri toka atoke majeruhi kwani inasemekana alikuwa ameongezeka uzito
Ramadhani Kessy alicheza Kwa kiwango kikubwa sn kwn aliweza kupiga krosi nyingi sn , lkn pia aliweza kutoa pasi nyingi sn za mwisho sema wamaliziaji hawakuwa makini , Kessy aliweza kupiga mashoot golini na shuti moja liligonga mwamba wa juu Wa goli na kusababisha taflani kubwa Kwa wapinzani wake .
Kwa kiwango alichoonyesha naamini akipatiwa nafasi anauwezo Wa kuonyesha kiwango kikubwa zaidi .

Comments