SANCHEZ KUTUA CHELSEA YA England.

          Kocha wa klabu ya chelsea Antonie Konte anampango wa kumsajili mchezaji wa Arsenal Alex Sanchez majira ya joto  kwa mujibu wa habari kutoka Guardian .
   
       Muitaliano huyo ambaye kwa sasa anafanya mazungumzo ya mkataba mpya na klabu yake na amefanya mjadala kuhusu masuala ya usajili na klabu yake na hivyo kuwa mstari wa mbele katika kumhitaji mchezaji huyo raia wa Chile anayetaka kuondoka Emirates majira ya joto.

        Alex amekerwa na maendeleo ya kikosi hicho cha Arsenal kisicho na maendeleo ya soka ,  pia klabu za PSG, JUVENTUS na INTER MILAN zinaonyesha nia yao ya kumhitaji star huyo .


 Imeandaliwa na 👇👇👇👇


     Misango Samweli. 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.