SIRI YA DIAMOND KUFANIKIWA YAFICHUKA .
Nyota wa mziki w bongofleva nchini Nassib Abdul (DIAMIND PLUTNUM ) amefichua moja ya siri ya mafanikio yake makubwa nchini kuwa ni kuwasaidia watu wenye uhitaji.
Diamond ambaye anatajwa kuwa ndiye mwenye kipato kikubwa amesema kuwa anajisikia fahari kuona kuwa amekuwa kiwsidia watu wenye uhitaji na amekuwa akipata brka zaidi anapokuwa anawasaidi watu.
"Unajua watu wengi hawajui kuwa ukitoa unazidi kubarikiwa , hii kwangu imekuwa sehemu ya mafanikio sana , huwa najisikia mwenye bahati kubwa nikimsaidia mtu mwenye uhitaji kwani naamini lazima nitafanikiwa " alisema Daiamond.
Amesema amekuwa akikutana na changamoto nyingi ikiwemo watu wengi kuhitaji msaada kutoka kwake amesema kuwa amekuwa akilenga wale anaoamini wanahitaji msaada zaidi kutoka kwake
0625954293.

Imeandikwa na
Misango Samweli
Whatsap
Comments