SOMA RIPOTI YA KAMATI YA UCHUNGUZI KUHUSU MKUU WA MKOA WA DSM PAUL MAKONDA KUVAMIA CLOUDS MEDIA.

   Baada ya tukio La mkuu Wa mkoa Wa DSM, PAUL MAKONDA kusemekana kuwa alivamia kituo cha matangazo na Televisheni cha Clouds .
Waziri Wa Sanaa michezo na utamaduni Mh. Nape Nnawiye aliamua kuunda kamati ya kuchunguza tuhuma hizo na hii ndyo ripoti ya UCHUNGUZI Wa kati hiyo .

Waziri Nape Nnawye amepokea ripoti ya kamati ya uchunguzi aliyoiunda .

Balile: Tulifanya mahojiano na wafanya kazi 14 Wa kituo cha
            clouds .
Balile:Tulifanya juhudi za kumtafuta mkuu Wa mkoa Paul
            Makonda Kwa kumpigia simh lakini hakupokea .
Balile:Hata tulipofika katika ofisi zake aliondoka kupitia
           Mlango Wa nyuma.
Balile:baada ya kushimdwa kuonana naye tukajiridhisha                    kuwa amechagua mwenyewe kutotumia fulsa ya                        kuhojiwa.
Balile:katiak a uchunguzi wetu tumejirishisha kuwa mkuu
           Wa mkoa Wa dar es salaam aliamua kuvamia kituo
          Cha clouds akiwa anaendesha gari mwenyewe.
Balile:kamati imejiridhisha kuwa RC na askari wake wenye
          Silaha waliingia hadi ndani ya studio iliyokuwa ikirusha
          Matangazo.
Balile:kamati imejiridhisha pia palikuwa na vitisho kwa
           wafanyakazi Kwa kutumia askari wenye silaha za moto.
Balile:miongoni mwa vitisho ni kuwalazimisha kurusha
          Kurusha kipindi vinginevyo angewaingiza kwenye
          Tuhuma za dawa za kulevya.
Balile:baada ya hapo aliwatisha kuwa yote yaliyotokea usiku
           ule iwe siri yabki pale pale ndani.
Balile:tumejiridhisha kuwa mkuu Wa mkoa aliingilia kazi
           za uhariri kwa kulazimisha habari anayoitaka irushwe.
Balile:kamati haikuona uthibiisho wowote kuwa kuna watu
           wliopigwa na vitako vya bunduki au mtama .

    MAPENDEKEZO YA KAMATI.

1.Mkuu Wa mkoa aombe radhi na wanahabari wrote,
   Balile
2.waziri husika atoe taarifa kwa mamlaka husika ili
   mkuu Wa mkoa achukuliwe hatua , Balile
3.vyombo vya usalama kufanya uchunguzi juu ya askari
   kuingia na silaha za moto Clouds , Balile.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.