WAZIRI NAPE NNAUYE APIGWA CHINI , MWAKYEMBE ACHUKUA NAFASI .
Baraza la mwaziri la Tanzania lafanyiwa mabadiliko kidogo hii ni baada ya waziri Wa Sanaa michezo na utamaduni Nappe Nnauye kuondolewa kwenye cheo chake .
Raisi Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania mh Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 23/3/2017 amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri.
Mabadiliko hayo Rais amemteua Prf. Palamaganda John Aidan Mwaluko Kabudi kuwa waziri Wa katiba na sheria huku akimteu Dkt. Harson Mwakyembe kuwa waziri Wa sanaa , michezo na utamaduni .
Uteuzi juu unaanza Mara moja na kesho tarehe 24/3/2017 mchana wataapishwa ikulu jijini Dar es salaam .
Gerson Msigwa
Mkurugenzi Wa mawasiliano
Ya Rais IKULU .
Dar es salaam

Comments