YANGA WASHINDA MECHI WAKIWA PUNGUFU TAIFA.

Mabingwa watetezi Wa ligi kuu Tanzania bara YANGA wameibuka washindi katika mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting walioshinda 2-0 na kufanya kuwa kayika nafasi ya pili na point 52 wakizidiwa na SIMBA  Kwa point 2 tu ambao wanapoint 54 mpk sasa ikiwa zimebaki mechi takribani saba ligi kuu kumalizika 
Mabingwa hao wameibuka na ushindi huo baada ya SAIMON MSUVA kuipatia YANGA goli la kwanza Kwa njia ya mkwaju Wa penalt baada ya Chirwa kumbabatisha mchezaji Wa wapinzani mpira katika mkono , kabla ya mchezo kumalizika zikiwa zimebaki dk 4 mchezo kumalizika Emanuel aliipatia goli la pili timu yake na kupoteza matumaini ya wapinzani hao kusawazisha 
Akizungumza baada ya mchezo Nahodha Wa timu ya YANGA amewashukuru wachezajj wenzake Kwa kujituma na kusema mchezo unaofuata dhidi ya mtibwa amesema kuwa utakuwa mchezo mgumu ila watajipanga kuhakikisha wanaibuka washindi .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.