ALIKIBA APATA MCHONGO LONDON BAAD YA KUTOKA MAREKANI
Msanii wa bongo Fleva Alikiba ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa aje , amepata nafasi ya kushiriki katika tamasha kubwa la mitindo huko London . Kupitia ukurasa wake wa Instagram Alikiba amewajuz mashabiki wake kwa kupost ujumbe unaoonyesha na kuwajuza mashabiki wake kuwa kapata nafasi ya kutumbuiza katika tamasha hilo linalokwenda na kudfahamika kama One Afrika Premium Fashion litakalofanyika tarehe 12 mwezi wa 5 jijini London akiwa na wasanii wengine kama Victoria Kiman , Fleviour, Bank W, Tiwa Savage na wengine. Shindano la One Afrca Fashion at the heart of London.
Alikiba bado yupo nchini Marekani ambapo anaendelea na tour yake akiwa pamoja na ndugu yake Abdukiba .
Comments