PATA HABARI ZA MICHEZO HAPA.
TANGAZA BIASHARA YAKO NASI.
Calls/Whatsap : +255622619423
Contact us Whatsap
: 0622619423
BURUDIKA NA KATUNI 16 KATIKA MAPUMZIKO YAKO YA WEEKEND
Get link
Facebook
Twitter
Pinterest
Email
Other Apps
-
Ndugu mpenzi na msomaji wa blog hii leo ni siku ya mapumziko baada ya pilika za juma zima , hivyo unaweza kujionea katuni kimi na sita (16) hapa ili weekend yako iende vizuri kabisaa.
Wapendwa wasomaji wa misangletz.blogspot.com. yanakuletea yale mafunzo ya kutengeneza sabuni za maji na mche Online kwa bei nafuu kabisa kwni watu wamekuwa wklakiulizia mara kwa mara na kutokana na maandalizi kwa ajili ya somo tulikuwa tumeomba muda wa kutosha . Mafunzo yatakayotolewa ni kama ifuatavyo: 1. Mafunzo ya sabuni ya maji Tutajifunza kutengeneza sabuni za maji na kupata ujuzi wakutosha kabisa ili uweze kutengeneza sabuni na kujiongezea kipato chako, familia yako na taifa kwa ujumla 2. Sabuni ya mche (Magadi) Tutafundisha pia kutengeneza sabuni za mche km unavyoina hyo hapo chini . Utafahamu namna ya kutengeneza sabuni hizi bila hata kusumbuka na uapaa ujuzi wakuosha na kuacha kuhangaika kununua sabuni . 3. Shampoo za kuoshea nywele. Mafunzo mengine utayopayiwa ni namna ya kutengeneza Shampoo au sabuni za kuoshea nywele . Pia kwa wale ambao hawakupata mafunzo ya kutengeneza Zulia bado watu wanaendelea kupata mafunzo haya
Mastaa wawili wanaounda group la mziki la scopion Girls Baby Madaha na Isabela waliwaacha watu midomo wazi baada ya kujiachia kimahaba kama mtu na mpenziwe . Madaha na Isabela walilishana keki kwa style ya njiwa'kugusianisha midomo ' ikiwa nikwenye bethidei ya Isabela iliyofanyika katika hotel ya Belinda iliyopo mbezi beach jijini Dar. Akizungumzia isue hiyo mmoja wa wahudhuriaji ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa tukio hilo ni lakushangaza kwanilinaashiria kuna kingine nyjma ya pazia kati ya wasanii hao kinaendelea . "Kiukweli Isabela na Madaha wamenishangaza sana, kulishana gani keki huko kama mtu na mpenziwe inaashiria kuna kjngine nyuma ya pazia kinaendelea, inawezekana wenzetu ni wapenzj wa jinsia moja (wasaganaji). Maana siyo kwa ukaribu huo tena hadharani kweli dunia imevaa sketi " alisema mmoja wa wahudhuriaji .
Utamaduni wa timu mbalimbali duniani kubadili jezi zake kila baada ya msimu wa ligi kumalizika umekuwa ukifanyika mara kWA Mara na jezi hizi wamekuwa wakizitumia katika ligi ya nchi husika na mashindano mengine hata ya kimataifa . Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii nikuwa zinaonyesha jezi ambazo zitakuwa zinatumiwa na klabu ya Yanga msimu wa 2017/2018 . Jezi hizo bado hazijathibitishwa na kutangazwa rasmi na uongozi wa yanga lakini zinasemekana kuwa ndizo zitakazotumika msimu wa 2017/2018. Ufafanuzi: Jezi za kijani : Hizi zitakuwa ni jezi za klabu ya yanga ambazo zitatumiwa katika na timu inapokuwa ikicheza michezo yake katika uwanja wao wa nyumbani . Jezi ya njano: Hii watavaa pindi wanapokuwa wancheza nje ya uwanja wak wa nyumbani . Jezi nyeusi: Hii itakuwa jezi yao ya tatu katika msimu ujao .
Comments