DIAMOND KUFANYA COLLABO NA YOUNG KILLER
Baada ya kuzindua Manukatoyakemapya yanayokwenda kwa jina la Chibu Perfume ambayo imepokelewa vizuri na mashabiki wake .
Diamond ametoa tathimini ya mziki wa bongo fleva kwa kusema kuwa kumekuwepo na ushindani mkubwa akidai umewashinda hata wanaijeria kwa sasa . Aidha Diamond amegusia kufanya collabo na mwanamziki Yong Killer kwa kusema kuwa amefanya naye kazi kwa lengo la kunyanyua mziki wa nyumbani kwa sababu kufanya kazi na wanaijeria hakuwastui tena watu kama zamani .
"Kitu ambacho watu hawakijui , ukifanya kazi na wanaijeria watu hawashituki kabisa . Nimefanaya collabo na Young Killer kunyanyua mziki. Mziki wetu umekuwa wa kiushindani kabisa , lazima tujitume . wanaijeria now ahawapo juu yetu , mziki wetu upo juju sasa " alisema .
Comments