YANGA BINGWA VPL 2016/2017 , TOTO , JKT RUVU NA AFRICAN LYON ZASHUKA DARAJ .

     





       Klabu ya Dar Young Africans (Yanga) leo imepoteza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mbao F C katika uwanja wa CCM Kirumba jijini mwanza kwa kukubali kipigo cha goli 1-0 .

  Pamoja na matokeo hayo bado klbu hiyo ya Yanga imefanikiwa kuwa bingwa wa VPL 2016/2017 kwa kuwa na point 68 sawa na wapinzani wao Simba lakini wakiwazidi idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga kama inavyoonekana katika msimmo hapa chini.



Yanga wamechukua ubingwa wao wa 27 na kuwafanya kuongoza kwa kuchukua mars nyingi zaidi .

 Nani kashuka ? 

    Klabu tata zimeshuka daraja kutoka ligi kuu mpaka daraja la kwanza baada ya kuwa chini ya msimamo wa ligi kuu .  Klabu hizo ni Toto African y mwanza ,  JKT Ruvu na African Lyon .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.