HALIMA MDEE AOMBA MSAMAHA KWA KUMTUKANA SPIKA WA BUNGE.

     




         Mbunge wa jimbo la kawe kwa tiketi ya Chadema Mh.  Halima Mdee jana amefunguka na kuomba msamaha bungeni kufuatia kutoa lugha isiyo na sitaha bungeni wakati wa uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika mashariki uliofanyika tarehe 4 , april 2017 .

  Halima Mdee wakati akiomba radhi amesema kuwa wakati tukio hilo linatokea siku hiyo bungeni kulikuwa na matukio yaliyokuwa yakiendelea bungeni ambayo yalimpelekea kutoa lugha isiyo sawa kitamaduni za bunge ,  ambayo ilimgusa spika wa bunge na Naibu waziri wa wizara ya afya ,  maendeleo ya jamii , jinsia,  wazee na watoto Dkt.  Hamisi Kigwangala .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.