HARMONIZE NA WOLPER WAMWAGANA .
Kupitia U-Heard ya XXL Clouds mtangazaji Masoudy Brown ametuletea hiyo ambapo inadai kuwa Harmonize yupo mapenzini na mwanamke mwingine ambaye ni mzungu na inaseekana anaujauzito wa star huyo wa matatizo .
Baada ya Sudi Brown kuwatafuta wawili hao na kuwakosa alimtafuta mmoja wa mameneja wa WCB ambaye ni Babu Tale ili kujua ukweli kuhusu hili na majibu yake yakawa ni haya .
"Tuzungumze biashara ya Chibu perfume leo . Utakapo mpata Harmonize atazungumzia hilo mimi siyo meneja wa mapenzi ya wasanii nameneji biashara na kazi zao basi " alisema Babu Tale .
Comments