HARMOROPA KUPIGA SHOW DAR LIVE PASAKA .


Msanii marufu katika mitandao ya kijamii Harmoropa 
Anatarajia kutoa show kali siku ya sikukuu ya pasaka katika uwanja wa Dar Live mbagala jijini Dar es Salaam .

Meneja na mratibu wa dar live ,  Juma Mbizo alisema kuwa masabiki wa msanii huyo siku nyingi wamekuwa na hamu ya khmuona msanii huyo akipanda jukwaa moja na kulisimamisha kama wanfanyavyo kwenye matamasha mengine.  Mbizo alisema kuwa mbali na msanii huyo kutakuwepo na wasanii wengine wakali kama Juma Nature,  Msaga Sumu,  MC Darada , pamoja na Dula Makabila .

  Mapema kuanzia asubuhi kutakuwa na burudani nyingi kwa watoto itakayoongozwa na kundi la Makirikiri kutoka Tanzania.
  Kwa upande wake Harmoropa ameahidi kuweka historia katika uh kumbi huo wa Dar Live huku akiwahakikishia mashabiki wake kupata wanachotaka .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.