JOSE CHAMELION KUACHANA NA MKE WAKE BAADA YA MIAKA 10 KUWA PAMOJA .
Daniela Atim ambaye ni mke wa mwanamziki kutoka nchini uganda Joseph Mayanja , maarufu kama jose Chamelion amewasilisha ombi kwa hakimu katika moja ya mahakama nchini uganda kutaka kuivunja ndoa yake . Daniela na Chamelion wameishi yapata miaka 10 mpaka sasa na wamefanikiwa kupata watoto wanne pamoja Daniela amedai kuwa amekuwa akipigwa na msanii huyo na kunyanyaswa sana
Comments