KAGERA SUGAR WAJA NA HII BAADA YA KUNYANG'ANYWA POINT 3 NA KUPEWA SIMBA
Ikumbukwe kuwa April 2, 2017katika uwanja wa kaitaba ulichezwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar na Simba SC , mchezo uliomalizika kwa simba kupoteza kwa kufungwa goli 2-1 . Baada ya kufungwa Simba walikata rufaa kwa madai kuwa Kagera walimchezesha Beki wao Mohamed Fakhi akiwa na kadi 3 za njano . Rufaa hiyo simba walishinda na kupewa point 3 na magoli 3 .
Baada ya hapo jana uongozi wa Kagera umeibuka na kudai kuwa wameonewa kwani mohamed Fakhi hakuwa na kadi 3 za njano bali alikuwa nazo 2.
Soma barua hiyo
Baada ya hapo jana uongozi wa Kagera umeibuka na kudai kuwa wameonewa kwani mohamed Fakhi hakuwa na kadi 3 za njano bali alikuwa nazo 2.
Soma barua hiyo
Comments