KiKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBAO FC
Klabu ya simba inashuka uwanjani jijini mwanza leo katika uwanja wa Ccm kirumba kukipiga na Mbao F C . simba atakuwa na mtihani mkubwa wa kushinda ili kuweza kuongoza ligi na kuwatoa mabingwa watetezi Yanga . Niki ndicho kikosi kamili cha Simba kitakachoanza hii leo :
1. Manyika
2. Hamad Juma
3. Mohamed Hussein
4. Janvier Besala Bukungu
5. Juuko Mushi
6. James Kotei
7. Ramadhani Shiza Kichuya
8. Mzamir Yasin
9. Juma Luizio
10. Mohamed Ibrahim
11. Pastory Athanas
Akiba
Daniel Agyei
Said Hamis Ndemla
Ibrahim Ajibu Migomba
Mwinyi Kazimoto
Laudit Mavugo
Frederick Blagnon
1. Manyika
2. Hamad Juma
3. Mohamed Hussein
4. Janvier Besala Bukungu
5. Juuko Mushi
6. James Kotei
7. Ramadhani Shiza Kichuya
8. Mzamir Yasin
9. Juma Luizio
10. Mohamed Ibrahim
11. Pastory Athanas
Akiba
Daniel Agyei
Said Hamis Ndemla
Ibrahim Ajibu Migomba
Mwinyi Kazimoto
Laudit Mavugo
Frederick Blagnon
Comments