KIKWETE AIPONDA ELIMU BURE YA MAGUFULI .

   




             Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa suala la elimu bure kwa wote bado ni chngamoto hususani kwa nchi maskini na zinazoendelea kama Tanzania ambazo ni nchi maskini na kipato chake bado ni chachini .
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk .
 
    Kikwete ambaye alikuwepo Washngton D C kwenye kikao cha ufadhili wa elimu wa mkakati mpya uliozinduliwa mwaka jana kwa nchi za africa "The pioneer Country initiative " .   Baad ya kuzuru nchi 14 ambazo zipo katika mradi huo waawali .

   Ki karte amesema kuwa amebaini kuwa kunamatatizo makuu matatu kwenye nchi maskini na nchi za uchumi wa kati ambapo vijana wengi wanastahili kuwepo mashuleni na hawapo shuleni. Pia amesema wanafunzi wengi waliopo shuleni hawamalizi masomo yao na jambo la tatu watu waliopo mashuleni hawapati elimu wanayostahili kuipata .

   Pia amependekeza kuwa tume imependekeza kuwa nchi husjka zinapaswa kufanya mageuzi katika mifumo yao ya elimu ili kuwez kupata matokeo chanya katika sekta hiyo ya elimu katika nchi zinazoendelea .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.