KIKWETE ASHANGILIWA KWA DK 10 BUNGENI NA WABUNGE WAKIMTAKA AWASALIMIE .
Vikao vya bunge la badgeti vimeanza leo mjini Dodoma , ambapo mke wa rais mstaafu mama Salima Rashidi Kikwet aliapishwa kuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais Magufuli.
Katika bunge hilo rais mstaafu Mh. Jakaya Kikwete alihuzulia kama mgeni na baada ya kuhudhuria wakati wa utambulisho wa wageni wabunge walianza kupaza sauti zao kwa kusema kuwa wamemis huku wakimuomba ashuke aje kuwasalimi lakini Spika wa Bunge Job Ndugai aliwaambia kuwa inatosha .

Spika wa bunge amesema kuwa haijawahi kutokea katika miaka yake yote akiwa bungeni hapo kuona mgeni akishangiliwa kama ilibmvyotokea leo kwa mh. Jakaya Kikwete. Bunge limeanza leo mjini Dodoma .
Comments