KIONGOZI WA FREEMASON ACHOMWA MOTO



     Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha freemason Afrika mashariki Sir.  Chande umeteketezwa leo kijitonyama jijini Dar es Salaam , kupitia tukio lililodumu kwa takribani saa nzima . Mwili huo umeteketezwa kwa moto kupitia ibada iliyofanyika ndani ya nyumba maalumu inayofanyika kama sehemu ya mziko ya waumini wa dini ya Hindu .

     Sir.  Chande alifariki siku tano zilizopita wakati akipata matibabu katika hspitali Nairobi nchini Kenya baada ya kuugua kwa muda mrefuugonjwa uliotokana na matatizo ya utumbo mdogo kusambaza sumu mwilini.
 

       

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.