KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA KAGEARA SUGAR KAITABA.

   Kuelekea mcheo utakao pigwa pale mjini kagera katika uwanja wa Kaitaba , ikiwa ni mchezo kati ya Kagera Sugar na Simba spot Club nimekuletea mtazamo kidogo kuhusiana na timu hizo na umhimu wa mchezo huo.
  Itakuwa ni mechi ngumu kwa kila upande kulingana na matokeo ya jana pale Taifa ambapo timu ya Yanga iliishinda Azm F C kwa goli moja lililofungwa na Chirwa katika dk ya 70 . Ugumu wa mchezo huu upo wapi unajua ?  Ni kuwa Kager Sugar wakishinda wataitoa azam katika nafasi ya tatu ,  na Simba akishinda atarudi katika nafasi yake ya kwanza hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali sana na wakukata na shoka kwa kila timu kuhitaji ushindi kwa namna yoyote ile . Kazi itakuwa ngumu sana kwa upande wa Simba ambapo watakuwa na presha kubwa kuhakikisha kuwa wanashinda na kurejea kileleni mwa ligi hali ambayo inaweza kupelekea kuwaharibia zaidi mana kagrea watacheza kwa presha ya kawaida japo pia wanhitji ushindi .

 Wachezaji wa kuchungwa kwa upande wa Kagera ni MBARAKA YUSUPH na SALUM  KANON kwa upande wa simba wachezaji wa kuchungwa ni AJIBU , MAVUGO na KICHUYA .
   
    Hakika huu ni mchezo wa kuvutia sn kwa timu zote kwani zitacheza kw tahadhari kubwa ili kulinda nafasi zake .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.