LIPUMBA KUNYIMWA RUZUKU.
Mahakama kuu imemuamuru msajili wa vyama vya siasa nchini kutotoa ruzuku kwa Prof. Lipumba wa chama cha wananchi CUF na kundi lake . Zuio hilo ni mpaka shauri dhidi ya msajili na mwanasheria mkuu wa serikali kuhusu kutoa fedha za ruzuku sh. Milioni 369 kwa njia ya wizi na udanganyifu litakaposikilizwa na kutolewa maamzi.
Uamzi huo umefikiwa na jaji Dyansobela baada ya kukubaliana na hoja zilizowasilishwa kwa hati ya dharula.
Jopo la mawakili wa CUF , liliomba kutoa hukumu hiyo kwakuwa fedha zilizotolewa awali shilingi milioni 369 hazijulikani zimetumika vipi ,na hazikuwa katika mikono salama wala hakukuwa na uthibiti wa chama kuhusu kuhusu fedha hizo ikizingatiwa kuwa Prof. Lipumba alishavuliwa uanachama . Mawakili hao akiwemo Juma Nassor , wamesisitiza kuwa , mazingira yaliyopo kwa chama ni vyema na busara kwa fedha za umma zilizopaswa kutolewa kama ruzuku kwa CUF zikaendelea kubakia Serikalini .

Comments