MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA MUUNGANO KUFANYIKA DODOMA
Kwa mara ya kwanza maadhimisho ya sikukuu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanatarajiwa kufanyima katika makao makuu ya nchi mjini Dodoma .
April 26 mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kwa mara ya kwanza katika mkoa huo ikiwa ni mwendlelezo wa kutimizwa kwa ahadi ya serikali ya kuufanya mkoa huo kuwa kweli ni makao makuu ya Nchi kwanj mpaka sasa hata wizara karibuni zote zinaendelea kuhamia Dodoma . Maadhimisho hayo yatakuwa ya muungano kutimiza miaka 53 tangu kuwepo kwake ambako kulizaa nchi ya Tanzania .
Comments