MANENK YA MANJI ALIPOENDA KUWATEMBELEA YANGA .
Manji jana alikwenda kuwatembelea wachezaji wa yanga kwa mara ya kwanza toka amalize matatizo yake yaliyokuwa yakimkabili na kusema haya kwa wachezaji na mashabiki wa kikosi hicho .
Manji alisema kuwa "nimewasikia na nayajua matatizo yanayowakabili , nawaombeni sana mvumilie kuna mambo nayaweka sawa ndani ya mwezi huu . Nawaahidi mwezi ujao mtafurahi , nendeni mkacheze tunategemea mtatupa furaha " Manji aliyasema hayo alipowatembelea katiaka mazoezi yao ya mwisho .
Comments