MANGE KIMAMBI NAYE AMUJIA JUU DIAMOND PLUTINUM
Baada ya msanii Diamond kuachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina Acha nikae kimya , Mange amemshukia na kusema kuwa Diamond ni mnafiki na anatumika vibaya .
Mange kimambi hajapendezwa na wimbo mpya wa Diamond na kuamua kusema haya .
"We pu*vu kaa kimya unatumika vibaya hiyo kitu wa kuwatishia watanzani na vita sijui ukosefu wa amani CCM for many years kuwatishia watanzania . Watu wakitaka mabadiliko gia yao ya kwanza ni kuwatishia watanzia amani itapotea . Acha ipotee amani ya kisenge ya nyinyi wachache kutajirika kujenga mastate house sijui ya usenge gani huku wengine wakisaga meno tumechoka .
Wewe Dah umeshashiba huoni shida ya wengine lazima utake amani . kamuulize anayeshindia mlo mmoja kama kuna amani TZ ? " alisema Mange
Comments