MAYAI NA KUKU WA KIZUNGU VYAPIGWA STOP TANZANIA.




      Serikali imeseama kuwa hakuna mwekezaji yeyote aliyepewa kibali cha kuingiza na kuingiza vifaranga au mayai ya kuku wa kisasa kwaajili ya biashara . 

Katika kusimamia hii kuanzia mwaka 2013 hadi 2017 , vifaanga 67500 vimeingizwa nchini kinyume na sheria viliteketezwa. 

Akifafanua habari hiyo Naibu waziri wa Kilimo, ufugaji na uvuvi Mhe. Willium Olle Nasha amesema wapo wawekezaji wachache ambao hupewa vibali vya kuingiza mayai au vifaranga wa kukj wa kisasa (Percent Stock) na ukaguzi kwa ajili ya uingizaji wa vifaranga na mayai bado unaendelea . Amesema hatua kali zinachhkuliwa kwa yeyote atakaye kiuka sheria hizo. 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.