MBWANA SAMATA ANAVYOZIDI KUWA GHALI ULAYA.

    Mshambuliaji wa KG GENK na timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samata thamani yake imezidi kupanda ulaya na duniani kwa ujumla .
Thamani ya Samata kwa sasa imefikia kiwango cha Euro Mil.  3 sawa na Tsh.  Bil 7. 1 za kitanzania kwa mujibu wa mtandao unaohusika na thamani za wachezaji Duniani . Thamanihiyoimekuja mara baada ya Samata kufikia kiwango cha magoli kilichokuwa kikihitajika ambapo ni mpaka sasa anamagoli 7 katika mechi sita za hivi karibuni akiwa na Genk pamoja na mawili aliyoyapachika katika mechi ya Taifa Star dhidi ya Botswana nchini Tanzania mabadiliko hayo yamefanyika mwishoni mwa mwezi marchi ambapo alionekana kung'ara katika ishindi wa bao 4-1 dhid

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.