MHE. HUSSEIN BASHE ASEMA HATA MKINIFUKUZA CCM SAWA , AWAAMBIA CCM WAACHE UNAFIKI.

 

 Akizungumza leo Mh. Hussein Bashe mbuge huyo wa chama cha mapinduzi katika jimbo la nzega amewaambia na kuwataka wabunge wa CCM kuacha unafiki na usema kuwa yupo tayari hata kufukuzwa katika chama hicho cha mapinduzi na kusema kuwa ukweli nikwamba alikamatwa kweli na maofisa usalama wa taifa .

"CCM acheni UNAFIKI mimi nilishakamatwa kweli na maofisa usalama wa taifa mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama " alisema Mh. Bashe

Huu ni mwendelezo wa alichokisema jana kuhusu usalama wa taifa kuhusika na utekai .


                       

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.