MSIMAMO WA LIGI KUU VPL BAADA YA SIMBA KUPEWA POINT 3 ZA KAGERA .

 Jana timu ya Simba ilishinda madai yake ya kupewa point tatu dhidi ya mechi ya kagera waliyokuwa wekundu hao wamepigwa goli 2-1 .


Malalamiko hayo ya simba yalikuja baada ya kugunduwa kuwa kagera sugar walikuwa wamemchezesha mchezaji ambaye alikuwa na kadi 3 za njano ambaye ni Mohamed Fakhi.  
  Sasa Simba wanaongoza ligu wakifuatiwa na Yanga japo wanaongoza kwa michezo mingi. Simba atashuka weekend hii jijini kwanza kucheza na Tot Africa katika uwanja wa CCM Kirumba . 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.