NAPE AFUNGUKA HAYA KWA KITENDO ALICHOKIFANYA .
Mbunge wa jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye amefafanua juu ya kitendo alichokifanya lipofny ziara jimboni kwake kitendo cha kupita juu ya migongo ya akina mama wakiwa wamelala chini ili pite juu ya migongo yao.
Nape amesema kuwa hiyo ni mila ya kwao ambayo hufanyika kwa kuonyesha heshima kubwa kwa mtu aliyefanya jambo kubwa na ukikataa ni sawa na dharau kubwa kwa waliokufanyia .
Comments