NAPE AFUNGUKA MAZITO TENA AKIWA JIMBONI KWAKE MTAMA .
Aliyekuwa waziri wa habari, Sana'a, michezo na utamaduni Nape Moses Nnauye alipokuwa ziarani jimboni kwake jana amesema kuwa aliamini Tanzania inaongozwa na chama salama na bado anaamini .
Amesema kuwa "Tulipigana tukiamini kuwa nchi iko salama chini ya chama cha mapinduzi , bado naamini Tanzania itakuwa salama kama wananchi hususani vijana wataungana na kusimama pamoja katika kusema ukweli akikosea mkubwa hata awe mkubwa mpaka mbinguni lazima aambiwe ukweli . aliyasema hayo Nape .
Comments