NAPE NNAUYE AFUNGUKA KUHUSU CCM YA MAGUFULI

       


             Ikiwa leo Tanzania imetimiza miaka 53 tangu kuungana kwa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar zjlizoungana mwana 1964 . Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Nape Nnauye  amefunguka na kusema kuwa CCM ndiyo waasisj wa muungano huo.

    Nape amesema licha ya kuwepo kwa mapungufu ya hapa na pale lakini bado kitabakia kuwa ndicho chama bora cha mfano barani Afrika . Nape ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twiter .

   "CCM ndicho chama bora cha mfano barani Afrika ,  Ni imara na kina historian ndefu nzuri iliyotukuka sana . Ndiyo waasisi wa muungano wetu , tuudumishe alisisituza Nape.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.