NAY WA MITEGO HATARINI tena.
Msanii wa muziki wa bongo fleva ainaya Hip Hop Nay wa Mitego imbaada ya kutoa wimbo wake wa "WAPO" wiki kadhaa zilizopita wimbo uliopelekea akamatwe kabla ya Rais Magufuli kuamuru aachiwe huru .
Nay wa mitego ameibuka tena na kudai kuwa anasakwa kila kukicha na watu wanaotaka kumpoteza kabisa ikibidi asionekene Duniani. Nay wa Mitego ameandima manno haya kupitia katika mtandao
"Usalama wa maisha yangu umekuwa mdogo kwa sasa , wanapanga kunipoteza ikibidi nisiwepo kabisa duniani. Nipo tayari kwa chochote wanachopanga kunifanya coz sijapanga kabisa kupambana nao , mimi ni mwanamziki si vjnginevyo. Kwa chochote kitakachotokea familia yangu itakuwa na chakuongea , siwezi kuhama nchi wala kukimbia niafia hapa hapa . Nyie ndiyo mtakaonilinda sna mlinzi na sitarajii kuwa na mlinzi . OnlyGod.
#wapo
#truth

Comments