PICHA 8 MAZOEZI YA WACHEZAJI WA YANGA HUKO ALGERIA
Leo nimekusogezea picha 8 za mazoezi ya wachezaji wa Yanga kutoka huko algeria ambako walifanya mazoezi yao ya mwishi mwisho kuelekea mchezo wao wa leo wa marudiano dhidi ya Mc Alger .
Yanaga inatakiwa kupata ushindi wa goli moja tu au sare ya aina yoyote ile ili iweze kuendelea mbele katika hatua ya makundi . Ikumbukwe kuwa yanga msimu uliopita iliishia katika hatua ya makundi.
Comments