Prof. ISSA SHIVJI ASEMA UKITAKA TAIFA BORA BORESHA ELIMU.
Prof. Shivji
Pror. huyo ameasema kuwa ili Taifa liwe limeboreka lazima kuwe na mambo yafuatayo "Ukitaka kuboresha taifa boresha elimu , ukitaka kuboresha elimu boresha walimu na ukitaka taifa la watu wanaojiheshimu lazima kuheshimu walimu " aliyasema hayo Pr. Shivji
Comments