RAYVANN ANENA HAYA BAADA YA KUKUTANA NA YONDO SISTER
Kwa namna ambavyo dunia imekuwa ikiwakusanya watu pamoja na kuwafanya kufika sehemu kwa muda mfupi hasa ukiwa na uwezo wa kufika huko (kifedha ). RayVan nimoja ya watu ambao wanaendelea kutimiza ndoto zao za muda mrefu baada ya kukutana na watu maarufu wa muda mrefu (Legend$) wa mziki wa boringo Yondo Sister na kuandika machache kwenye akaunt yake ya Instagram .
"Mungu ni mwema aliyetupa nafasi hii maana haikuwa rahisi kutoka tulipokuwa mtaani mpaka hapa tulipo . Leo nimepata kukutana na mtu mmoja ambaye nilikuwa namshangaa kwenye Tv leo hii naye anasikiliza mziki wangu legend @Yondo_sister pia amesema amefurahishwa sana na winbo wa Shomwe baada ya Rich Mavoko kumtaja kuwa kiuno kama cha Yondo Sister . God is Good .
Comments