ROMA MKATOLIKI AFUNGUKA HAYA LEO BAADA YA KUONEKANA .

Roma,   Kwanza natoa shukrani kwenu , wananchi, wasanii wenzangu kwani mmesimama imara na serikali kwa ujumla.

Roma,  kilichotokea ni kama case study kwani kimetuunganisha wote bila kujali itikadi zetu tuendelee kuungana .

Roma , niwaambie ukweli tu mpaka sasa hatuna uhakika na usalama wetu , tulipokuwa ni pabaya na sipazuri kabisa.

Roma, kama alifanyiwa daktari baadae akafanyiwa msanii usishituke kesho akafanyiwa mwandishi wa habari au mbunge .

Roma , kinachotusikitisha ni maneno ya watu kuwa tumepewa hela ili tuitengeneze hii , siyo sawa kabisa.

Roma, ukweli ni kuwa tukio nilkweli n tumepigwa sana na mpaka sasa hatupo sawa kiafya.

Roma, siku hiyo walikuja watu wakiwa na silaha za moto wakiwa wamefunika nyuso zao , wakatuamrisha kuingia ndani ya gari.

Roma, walitufunga macho na kutupeleka kusikojulikana ukweli nikuwa wametupiga sana .

Roma, baada ya kupitia katika kipindi cha mateso makali walituachia ucku na tukawa hatuji tuko wapi .

Roma ,  siwezi kujua kama tukio hilo linahusiana na mziki wangu mana kuna hadi house boy wetu pia amehusika .


       

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.