SABABU ZA ROMA KUTOFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
DAR ES SALAAM hali ya sintofahamu imeanza kujitokeza leo asubuhi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 5 baada ya mkutano aliotakiwa kufanya Roma Mkatoliki na waandishi wa habari kushindwa kufanyika . Mapema leo hii kaka yake na Roma ambaye ni Omary Mussa ambaye alisema mkutano ungefanyika mapema leo saa 5, hata hivyo Omary hakuweka wazi sababu za kutofanyima mkutano huo kwa kile alichodai kuwa hajapata eneo.
"Eneo tulilopata awali mwenye eneo anaonekana kuwa na hofu , hata hivyo tunatafuta eneo lingjne hivyo tutawajulisha mapema saa 5 asubuhi ya leo ila tunalenga maeneo ya kinondoni " alisema Omary .
Hata hivyo baada ya kufika saa 5 Mwandishi alimtafuta Omary ambaye alisema bado hawajapata na huenda mkutano huo ungesogezwahadi saa 8 .
"Bado tunatafuta eneo na kunawatu wamepewa jukumu hilo hatuwezi kufanyia mahali popote tunataka sehemu salama hatujui wliomteka walikuwa na lengo gani " alisema Omar na kuongeza kuwa akipiwe simu baada ya dk 45 atakuwa ameshajua sehemu na kusisitiza kuwa kikubwa watu wawe na subra .

Comments