SAMATA KUONYESHA UWEZO WAKE SPAIN .
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzani Mbwana Ally Samata nakosi chake cha Genk wanatarajia kukipiga katika ardhi ya Spain katika mchezo wa Europa dhidi ya Celta Vigo .
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali ikiwa kila timu inataka ubingwa ili kufanikiwa kuingiza moja kwa moja katika hatua ya nusu final ya michuano hiyo . Kama Genk itafanikiwa kushinda mchezo huo itakuwa imejiweka katika mazingira mazuri ikizingatiwa kuwa mchezo wa marudiano itakuwa nyumbani .
Genk imefika hatua hiyo baada ya kuwafunga ndugu zao Gent ya huko huko nchini kwao ubelgiji kwa jumla ya ushindi wa mabao 6-3 huku Samata akichangia ushindi huo kwa kiasi kikubwa zaidi kutokana na uwezo wake wa kupachika mabao .
Kama Genk watafanikiwa kuwafunga Celta Vigo wataweza kukutana na Manchester United katika hatua ya Robo fainal ya michuano hiyo .
Imeandaliwa na
Misango S Masanga
0625954293
WhatSap
Comments