SERENGETI BOYS YAICHAPA CAMEROON .
Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania 'Serengeti Boys ' chini ya miaka 17 Jana imepata ushindi wa tatu mfululizo katika mechi zake za kimataifa katika kujiandaa na michuano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayoanza mwezi mei 14, 2017.
Serengeti boys wameifunga timu ya taifa ya Cameroon chini ya miaka 17 goli 1- 0, goli lilifungwa na Ally Ng'anzi kipindi cha kwanza katika mchezo wa kimataifa .
Huu ni mchezo wa tatu mfululizo Serengeti boys inashinda , ilishinda michezo miwili ya kimataif dhidi ya Gabon zilichochezwa huko Moroco ambako serengeti boy ilikuwa imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi kabla ya kwenda Cameron .
Baada ya kjmaliza kambi nchini Cameroon itaondoka na kuelekea nchini Gabon ambako zitafanyika fainal za michuano hiyo ya vijana ila nayo dhidi kisha mataifa manane .
Comments