SERENGETI BOYS YAWACHAPA GABON 2-1

 


              Timu ya Taifa ya vijana U-17 "Serengeti boys" jana meibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Gabon U-17 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa huko Moroco na mchezo huo umepigwa ikiwa ni mchezo wa kujipima kuelekea Gabon kwenye mashindano ya AFCON U-17 .

Serengeti Boys imeweka kambi Moroco kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON U -17 iliyopangwa kufanyika kuanzia mei 14 mwaka huu .
Magoli ya Serengeti Boys yalifungwa na Kelvine Nashon na Ibrahimu Abdalah Ally .


    Mmisanglehotnews.com inaungana na watanzia wote kuitakia timu ya serengezi boys iendelee kujianda vyem ili ikaiwakilishe vizuri nchi katika michuano hiyo.
 


             

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.