SERIKALI YASEMA HAITOWAVUMILIA AKINA BASHITE .
Waziri wa nchi ofisi ya nchi utumishi wa umma Angela Kariuki amesema kuwa inakadiliwa watumishi 4300 kuajiliwa
Katika kada ya elimu na usanifu wa maabara ambapo ajira hizo mpya zinakuja baada ya kukamilika kwa zoezi zima la uhakiki wa watumishi hewa. Hayo yamebainishwa na waziri huyo mkoani Tabora wakati akizungumza na wanachuo ambapo amesema kwa mud mwingi taifa limekuwa likikabiliwa na wimbi la watumishi hewa mbao wamekuwa wakilipwa fedha nyingi nje ya jtaratibu wa serikali.Aidha amesema kuwa serikali haitowafumbia macho watu ambao wamekuwa wakitumia vyeti na namba za vyeti ambazo siyo zakwao huku akiwataka watanzia kutambua madhara ya kutotumia vyeti halisi kuwa ni utolewaji wa huduma zisizo sitahili na kukidhi uhitaji wa watanzania huku akiwataka wahitimu katika kada mbalimbali kutowaonea haya watu ambao wanataka kupora ajira zao.
Imeandikwa na
Misango Samweli
Whatsap No.
0625954293
Comments