SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAFUMWA .




        
Mziwanda amesema kuwa Shilole ni mwanamziki mwenzaje na walipoenda Zanzibar hawakuwa pamoja na kila mtu alikuwa kivyake tu na mipangj yake .
  Akipiga story na Eenews EATV amesema kuwa hata kama akiamua kutoka nje ya ndoa siyo lazima atoke na shilole kwakuwa wanawake ni wengi na hata anapokuwa kwenye show huwa anakutana nao wengi hivyo siyo lazima atoke na Shilole .
  Hata hivyo Mziwanda amesema kuwa haoni sababu ya kutoka nje ya ndoa yake na hivyo mashabiki wake wanapaswa kumwelewa kuwa anapokuwa kwenye show moja na shilole huwa ni kwaajili ya masilahi hawezi kukataa show eti kwa sababu shilole yupo . Pia Mziwanda alimalizia kwa kusema kuwa ,

    "Zanzibar kila mtu alikwnda kwa shuguli zake japo tulijikuta tumeshukia hotel moja , Shilole akiwa ameenda kuzindua Pub lakini Mimi nilikwenda niliitwa na nimepewa pesa zangu kwaajili ya Show .


                                   Imeandikwa na
 
                                Misango S Masanga

                                    0625954293
 
                                       Whatsap .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.