SIMBA KWENDA FIFA KISA POINT 3 ZA KAGERA

   




             Huenda sakata la point 3 za Kagera Sugar dhidi ya Simba zikapelekea wekundu hao wa msimbazi kwenda FIFA .
Simba kunauwezekano mkubwa wa kukimbila Uswis yalipo makao makuu ya FIFA Kudai haki yao baada ya Mwenyekiti wao wa zamani Rage kuwashauri kufanya hivyo.


   Rage ambaye pia alikuw Katibu kuu wa TFF ambayo zamani ilijuikana kama FAT amesema maamzi yaliyofanywa dhidi ya simba yanaonyesha dhahiri uonevu na kwamba wakienda FIFA na CAF watapata msaada . Amesema kuwa sababu walizotoa TFF kwenye sakata hilo hazikuw na mashiko yoyote. Hivyo simba wanaweza kuomba kutafisiriwa sheria na FIFA na CAF na wakakubaliwa .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.