STEVE NYERERE ASEMA ni UONGO KUSEMA FILAMU ZA NJE ZINAZUIA ZA KIBONGO KUUZIKA .

       


     Msanii wa filamu nchini Steve Nyerer ameibuka na kusem kuwa wanaosema kuwa filamu za nje zinasababisha kutokuwa na soko zuri la flamu za ndani ,  ambapo amesema kuwa :

"Ni uongo kusema kuwa filamu za nje ndizo zinazuia filamu za ndani (bongo move ) kuuzika ,  ndugu hizi filamu za nje tangu tunazaliwa zilikuwepo , sisi tumemkuta Anold Schwazinger , Rambo na zinauzwa hukohuko Kariakoo kipindi tumewakuta tumechukua Majority yakwao na sisi tumeanza kutengeneza filamu zetu " aliyasema hayo .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.