UWANJA WA CCM KIRUMBA WAPATA KIBALI .
Mkoani mwanza uwanja wa mpira wa miguu liopo katima mji huo umepata kibali cha kutumika katika michezo ya kimataifa .
Fifa na Cuf kwa pamoja zimeupitisha uwanja huo kuwa niwakimataifa na kutumika katika michuano yote hata ile ya kimataif .
Comments