WABUNGE WAGOMA KUMCHANGIA SUPER MODEL WA TANZANIA
Super Model Asha Mabula anayekwenda kuiwasilisha Tanzania , alitambulishwa bungeni na kuibua mjadala mzito bungeni kuhusu kuchangiwa fedha kila mbuge TSH. 30000 . Wengi wamegoma wakisema kuwa hawaoni kama suala la U-Model ni lakitaifa na kama ni suala la muhimu kuchangia badala ya kuchangia masuala ya kimaendeleo .
Wengine wligoma wakidai kuwa dini zao haziwaruhusu kuchangia warembo . Mbunge Ally Kessy amesema endapo bunge litamkata kiasi hicho cha pesa atachukua hatua ya kwenda mahakamani.
Comments