YANGA WADAI POINT ZAO MBILI NAO SASA

  Baada ya timu ya Simba kupewa point 3 baada ya kagera sugar kumchezesha Mohamed Fakhi ambaye alikuwa na kadi 3 za njano nao yanga wameikumbusha bodi ya ligi kuhusu mchezo waliocheza na mbao fc .  kupitia kwa mjumbe ao a kamati ya utendaji Salum Mkemi amesema kuwa klabu ya yanga haina mpango wa kwenda mahakamani kupinga wapinzani wao kupewa point 3 badala yake leo katika mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya jangwni , Mkemi amesema kuwa hawaezi kwenda mahakamani licha ya kuwa wanachama wao wanaweza kufanya hivyo.
Ameelezea kilio chake kwa kamati ya hadhi na sheria za wachezaji kushughulikia malalamiko yao dhidi ya African Lyon kumchezesha Ludovic bila kuwa na uhamisho kamili, kwakuwa mechi yao  na African Lyon iliishia kwa sare ya 1-1 yanga wanapgania kupewa ushindi jambo litakalo waongezea point 2 zaidi .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.