YANGA YAWARUHUSU WANAOTAKA KUONDOKA.
MABINGWA watetezi wa ligi kuu tanzania bara na wanaoongoza ligi kuu kwa point moja mbele ya mahasimu wao Simba sport Club huku kila timu ikibakiwa na mechi tano mkononi .
Yanga sjku ya jumamosi itacheza mhezo wa play-off ya kombe la shirikisho dhidi ya MC ALGER katika uwanja wa taifa na watarudiana badae huko Algeria .
Uongozi wa timu huyo umetoa ruhusa kwa mchezaji atayetaka klabuni hapo iwapo tu atafata utaratibu , katibh mkuu wa klabu huyo Boniface Mkwasa amesema .
"Kama kuna mchezaji anataka kuondoka awe muungwana atueleze mapema na taratibu zifuatwe. Pia kama kunachezaji mwalimu ataona hamuhitaji sisi tutafata taratibu na kumweleza mapema kabisa.

Wakati akiyasema hayo Mkwasa kuna hatari ya timu huyo kuwakosa wachezaji wake muhimu ambao mikataba yao inaelekea kuisha ndani ya msimu huu.
Wazimbabwe wawili Donald Ngoma na Thaban Kamusoko mikataba yao inaelekea kuisha mwishoni mwa msimu huu na yanga haijaonesha nia ya kuzjngumza nao ili kuwaongezea mikataba .
Comments