KESI YA WEMA SEPETU YAPANGIWA TAREHE
Upande wa jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomhusu msanii Wem Sepetu ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi nyumbani kwake .
Leo mei 2 mbele ya hakimu mkazi Thomas Simba kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu, wakili wa serikali Helleni Mushi alidaj kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuomba kuwa tarehe ya kuanza kusikilizwa ipangwe. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tarehe 1 june mwka huu .
Comments